Home Lyrics Wakadinali – Balaluu Official Lyrics

Wakadinali – Balaluu Official Lyrics

0
Wakadinali - Balaluu Official Lyrics
Wakadinali - Balaluu Official Lyrics

Wakadinali – Balaluu Official Lyrics

Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha

Chorus:
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni tamu na ndranya mbrrrcha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea)
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kuchotea
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea)
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kuchotea

[Verse 1]
Leta ujinga tubeef for real
I’m not vegan I’m gluten-free
Mi si mjeru ati “Guten Morgen”
Kutwa morning mi mjehuri
Inzagi goshodo huko Balaluu
Ishidi mastingo kama waru
Gang imelandia tusupuu
Bangi imelandi matawi ya juu
I’m sorry ile last time
Kweli nlikukosea but it will happen again
Chocha ye mrasa mbona alipotea?
Bahati tu manze ju angemblein
Pori ingekuwa disaster
Habari ya kujikojolea, lia lia
Fikiria, complain, meno 32 and then umaintain
Burushwa kanairo must unaimunch
Ama utanyonywa damu kama Onyanch
Story za ovyo, mi huwanga na branch
Mwanaume, haufai kukula lunch
Wach, mziki ni bizna, wе, ndo inanilipa
Album stray inapita, nawakandamiza
Niko daily mboka niko mzozo, sispendingi ati zile za unyonge
Mdеnge kama ni bonzo, ni mshiet, ni shonde
Domani vako za mavoglo, mapenzi acha hapo nje
Dem akinona ovyo ovyo, mpee simu apitie akonde

(Chorus)
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea)
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kuchotea
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea)
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kuchotea

[Verse 2]
Si hatutoki na tunaharibu (Zoeea)
Nikuje na doskii ama ni akimu (Zoeea)
Msupa wako akiwa na mimi anazima simu (Zoeea)
Kivela lazima kiwake hata kiwe illegal (Zoeea)
Yo, yo, yo ukiskia bro amenikamia home, jua hio form ni erokamano
Msupa mbona una haga bigi na hauna ganji umekalia doh
Muite “Kss kss”, kamia form, tei ni zote mchanganyo
Tire ndaksus na kanyamo, hataki umdishi we ni kama bro
Jaba fresh Kariokor, mkwanja kesh hapana joke
Anatext text, flash, text, text, flash, block
Kwani tunaulizana? Bei ya ngataa inaumiza mans
Bado wanachocha mavijanaa, hawabongi whenever Scar is around
Vibare, hatuezi reason nao, maforeign washanga hizo loud
Ndai stolen, bitch ni wa colle, wanadai muone ashaga tupa mbao
Itankinda na aroma inatupa
Tire anachimba inanichoma makucha
Kusoma unasoma unatokea Juja
Unachoma unachoma unapoteza future

[Chorus]
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea)
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kuchotea
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea)
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kuchotea

[Verse 3]
Yo, yo, yo
Allow me kwanza nijiintroduce
Loudest kushinda pastor Kush
Essence aliona burning bush
Kumbe ni mwere anaiva kistuch
Si ndo tulimndasus kwa boot
Managerr managerr managerr my foot
East joh nimejaza magoons
Watokee na senke matokeo utashtuka
Too bad huezi nijua, too bad mpaka unabuya
“Who’s that?”, mwambie ni Sewer
Giz jana kuliwaka mvua
Generation yao ni ya sheesha
Unawacompare na si wa kuvuva
Umeshinda ukintoanisha sijui za fare na sijai kukula
Naserve tea asubuhi, kuna watu hawaezi ishi bila rumor
Kwani hamcheki funny venye nyi hamna sense of humor
Vumilia kaa inakuuma, kuma isikufanye mtumwa
Train ya drill hapa si boomba, vegan nilienda full ham
Samo ya street piga tapo, ’sionyeshe keja labda lojo
Momo ametoka Pango, ambieni corporal nimeramo
Yo, mofo toka form four, aha, yo, mofo toka f*** ****

[Chorus]
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea)
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kuchotea
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam hawaezi niangusha (Zoeea, zoea)
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kuchotea

Other Lyrics

Zuchu Feat Adekunle Gold – Love Lyrics

Harmonize Ft. Abigail Chams – Leave Me Alone Lyrics

Harry Richie – Vaida Lyrics

Previous articleHarry Richie-Vaida English Lyrics
Next articleMY ABEBO – BAHATI & PRINCE INDAH Official Lyrics

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here